Kila ifikapo tarehe 25 mwezi Mei kila mwaka ni kumbikizi ya siku ya mwafrika Duniani , Siku hii ni maalumu kwa Waafrika wote Duniani kukumbuka kuwa tarehe 25/5/1963 nchi 32 za Afrika zilisaini mkataba wa umoja wa Afrika (AU) wa kuzidi kushikamana na kuimarisha amani katika kujipatia uhuru kutoka kwa wakoloni kwa kipindi hicho.
Wakajitoa kuwaburudisha waafrika wote Duniani katika tamasha walilolipa Jina Africa Day Concert ambapo lilifanyika mubashara kupitia chaneli ya youtube ya Mtv Base Africa huku kauli mbiu ikiwa ni mapambano kuutokomeza ugonjwa wa malaria.
Katika tamasha hilo wasanii kutoka mataifa mbalimbali walipata nafasi ya kutumbuiza akiwemo mwanadada Zuchu kutokea tasnia ya muziki wa Bongofleva na kwenye video hii , ni kipande kifupi kikionyesha sehemu ya kazi aliyofanya msanii huyo.
Wasanii wengine waliotumbuiza katika Tamasha hilo ni pamoja na ;-
1. @bahatikenya
Bahati Akitumbuiza , Africa Day Concert
2. @bella_shmurda ,
Bella Shmurda , Akitumbuiza Africa Day Concert
3. @blaqdiamond150 ,
Blaq Diamond Akitumbuiza , Africa Day Concert
4. @elaineofficial_ ,
Elaine Akitumbuiza , Africa Day Concert
5. @focalistic ,
Focalistic Akitumbuiza , Africa Day Concert
6. @gyakie_ ,
Gyakie Akitumbuiza , Africa Day Concert
7. @omah_lay ,
Omahlay Akitumbuiza , Africa Day Concert
8. @suspect95_
Suspect 95 Akitumbuiza , Africa Day Concert
9. @tenientertainer


Comments
Post a Comment