Nyota wa Bongofleva Diamond Platnumz Bado yupo nchini Marekani akiwa Katika Maandalizi ya Mwisho ya Album yake Ambayo Itatoka siku za Hivi karibuni.
Akiwa nchini Humo Diamond Platnumz ameshakutana na Wasanii wengi Wakubwa na Siku ya Jana Alifanikiwa kukutana na Mkali wa Muziki wa Kufoka Legendari Snoop Dogg.
Katika video Hii Snoop Dog amemueleza diamond platnumz ni Kwa kiasi Gani Jamii yake Ya karibu Ilivyomkataa Kipindi Anaanza Muziki ' Mpaka sasa kufikia kuwa Mfano wa Kuigwa na Wasanii wengine Chipukizi na Waliopo kwenye Muziki.
TAZAMA MAZUNGUMZO YA DIAMOND NA SNOOP DOG


Comments
Post a Comment