Rasmi sasa Klabu ya Barcelona Ina uhakika Asilimia 100 kumbakisha mchezaji Tagemezi wa klabu hiyo Leo Messi kwa kuwa Mshambuliaji huyo Yupo mbioni kusaini mkataba Mpya na Wanacatalunya hao ' Mkataba utakao mbakisha Uhispania mpaka Mwaka 2026.
Habari za kuaminika Kutoka ndani ya Klabu zinasema kuwa Tayari makubaliano ya Awali kuhusu mkataba mpya Yalishafanyika hivyo Vimebakia vitu vichache na Rasmi watatoa tamko siku Chache zijazo.
Mwanzo Messi alitaka Kusaini miaka 3 Kuitumikia miamba hiyo Ila sasa atasaini Miaka 5 itakayomweka Fc Barcelona mpaka mwaka 2026 huku akikubali Kupunguza mshahara Wake.


Comments
Post a Comment